Saturday, 1 August 2015
Pewa Information: "Jipatie Program zinazozuia kurudufu / ku kopi kaz...
Posted by Unknown on 15:54
Pewa Information: "Jipatie Program zinazozuia kurudufu / ku kopi kaz...: Tupo Mkoa wa D ar es Salaam'Pamoja na K ilimanjaro_Tanzania. W asiliana nasi ili tukusaidie. Gharama zetu ni nafuu sana. ...
Sunday, 21 June 2015
PATA MATUKIO NA HABARI KEM KEM HAPA KATIKA CHANZO CHETU CHA HABARI
Posted by Unknown on 13:06
Wednesday, 11 March 2015
AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI IRINGA
Posted by Unknown on 13:08
Ajali mbaya yatokea maeneo ya Mafinga Iringa sehemu
kunaitwa Changarawe ambapo gari aina lori lilokuwa likitokea Dar kwenda
Mbeya ambapo lilikuwa likikwepa shimo kubwa lililopo katikati ya
barabara na kugongana na gari la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa
likitoka Mbeya kwenda Dar.
Kontena la lori limelalia kabisa basi, na watu wengine wamelaliwa na wengine wameporomokea korongoni, mpaka sasa hakuna majeruhi ni maiti tu, wala hakuna mtu ambaye inadhaniwa amepona.
- Kuna watoto wawili wasalimika, makadirio yao ni kati ya miaka mitatu na saba, lakini hawa inasemekana kwamba walirushwa korongoni kutokana na huo mgongano.
Fuatilia zaidi.
Kontena la lori limelalia kabisa basi, na watu wengine wamelaliwa na wengine wameporomokea korongoni, mpaka sasa hakuna majeruhi ni maiti tu, wala hakuna mtu ambaye inadhaniwa amepona.
- Kuna watoto wawili wasalimika, makadirio yao ni kati ya miaka mitatu na saba, lakini hawa inasemekana kwamba walirushwa korongoni kutokana na huo mgongano.
Fuatilia zaidi.
Ajali Mbaya mkoani Iringa_Mafinga. |
Posted in World News
Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama Chadema
Posted by Unknown on 11:23
Kwa ufupi
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), Tundu
Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Zitto Kabwe.
Baada ya Mahakama Kuu Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa na Zito Kabwe dhidi ya Chama
Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) ya kuhoji uhalali wa uanachama
wake ndani ya chama hicho…
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu
ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto
Kabwe.
Akitangaza hatua hiyo ya kumvua uanachama,Lissu
amesema kanuni na sharia za chama hicho ziko wazi na zinaelekeza kuwa
endapo mwanachama yeyote atakishtaki chama hicho mahakamani na iwapo
atashindwa atakuwa amejiondoa mwenyewe kwenye chama.
Posted in Politics
Saturday, 7 February 2015
Netware Programming Technologies
Posted by Unknown on 19:26

As one of most trusted software programming organization in Tanzania.We can provide you with an efficient and affordable solutions for your computers and computer equipment.Also we offer the widest spectrum of services.
Computer repair.
Networking Systems Solutions.Professional maintenance and designer of websites and software programming. We take pride in our creative ideas,services and strive to deliver quality solutions with the wings of technology,elegant and graceful designs,unique and dynamic graphics,presentations with innovative concepts.

- For more Information Contact us : +255 718 577 772 / +255 787 246 988 / + 255 713 196 437.
- We are locate at River side' Dar es salaam_Tanzania.
We have a lot of products as follows;-
- PRODUCTS:-
- Un Interaptable Power Supply.
- Management Software
- LCD_Monitors
- Computers
- Accessories
The virtual desktop revolution is here,for everyone.
CLI hardware accessories and add-ons are the companion to CLI thin clients to improve functionality. Some thin client accessories might require the installation of the newest version of CLI firmware or patches. Please check with your CLI sales rep at info@netwareprogramming.com for details.Hardware Accessories
- Monitor / Keyboard / Mouse
- Memory or Flash Upgrades
- USB Wireless Adapter
- Barcode Reader
- Mounting Accessories
- Power Accessories
Send us the requirements and we will give you the best QUOTE.
E-mail:- netwareprogramming@gmil.com
Virtual Desktop Infrastructure (VDI) is an
emerging architectural model where a Windows client operating system
runs in server-based virtual machines (VMs) in the data center and
interacts with the user’s client device such as a PC or a thin client.
Similar to session-based remote desktops (formerly known as Terminal
Services), VDI provides IT with the ability to centralize a user’s
desktop; instead of a server session, however, a full client environment
is virtualized within a server-based hypervisor. With VDI, the user can
get a rich and individualized desktop experience with full admin
control over desktop and applications. However, this architecture, while
flexible, requires significantly more server hardware resources than
the traditional session-based remote desktop approach.
Key benefits of VDI are:
-
Better enablement of flexible work scenarios, such as work from home and hot-desking
-
Increased data security and compliance
-
Easy and efficient management of the desktop OS and applications.
Posted in Home
Subscribe to:
Posts (Atom)
"MCHUNGAJI HUYU AMESHTUKIWA AKIFANYA ......"